TEZI DUME NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO.
DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME 1 . Kukojoa mara kwa mara 2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu 3. Kukujoa sana usiku 4. Maumivu wakati wa kukojoa 5. Kupungukiwa nguvu za kiume 6. UTI ya mara kwa mara 7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo. 8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo (hydronephrosis) 9. Kupoteza fahamu(uremia) MADHARA YA KUVIMBA TEZI DUME Kuvimba Kwa Tezi Dume kunaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa kama ifuatavyo; 1. Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine) 2. Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo 3. Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo 4. Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI) 5. Madhara katika figo au kibofu 6. Shinikizo la damu 7. Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ejaculation) 8. Nimonia (Pneumonia) 9. Damu kuganda. MADHARA YA UPASUAJI 1. Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani hutoi shahawa(retrogade ejaculation) wazee wengi hulalamika sana baada ya hizi operation hivyo ushauri nasaha lazima u...