TEZI DUME NI HATARI SANA KWA AFYA YAKO.

DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME 

1. Kukojoa mara kwa mara 
2. Kubakiza mkojo kwenye kibofu
3. Kukujoa sana usiku
4. Maumivu wakati wa kukojoa
5. Kupungukiwa nguvu za kiume
6. UTI ya mara kwa mara
7. Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikano wa mkojo.
8. Figo kujaa maji. Hii sababu mkojo huo unarudi nyuma kuelekea figo (hydronephrosis)
9. Kupoteza fahamu(uremia)



MADHARA YA KUVIMBA TEZI DUME

Kuvimba Kwa Tezi Dume kunaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa kama ifuatavyo; 

1. Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)
2. Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo
3. Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
4. Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
5. Madhara katika figo au kibofu
6. Shinikizo la damu
7. Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ejaculation)
8. Nimonia (Pneumonia)
9. Damu kuganda.


MADHARA YA UPASUAJI


1. Kukosa uwezo wa kufikia kishindo yani hutoi shahawa(retrogade ejaculation) wazee wengi hulalamika sana baada ya hizi operation hivyo ushauri nasaha lazima utolewe ili mgonjwa ajue nini madhara yake kabla ya operation.

2. Kuziba kwa njia ya mkojo kutoka na kuumia kwa njia hizo wakati wa kitendo hicho. Baadaya ya upasuaji mgonjwa anapoendelea kupona kovu linaweza kuziba njia ya mkojo.

3. Shida ya kushindwa kudhibiti mkojo usitoke ovyo (Incontinence): Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kudhibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.

4. Kutokwa na damu katika siku za awali mara baada ya upasuaji kupitia njia ya mkojo: Kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo.


5. Wanaume kuwa wagumba yaani wasioweza kupata watoto. Kwa kawaida, wakati wa tendo la ndoa mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ndoa, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuaji wa tezi dume huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.

Kutokana na madhara mengi sana na mabaya ya kutumia madawa yenye kemikali pamoja na upasuaji, tumwkuandalia dose nzima yenye matokeo makubwa Sana. 

Dose hii Unaipata Kwa TSh 255,000/- tuu, kumbuka Kwa mgojwa kabisa ya TEZI DUME,.. kama Utaamua k
Kujipatia Nusu dose unaweza kufanya hivyo Kwa kuwaliana 

WASILIANA NASI KWA 0712 126 127 KULIPIA. 

Comments