Posts

Showing posts from February, 2024
Image
Jinsi Nilivyopoma Bawasili Ndani Ya Siku Saba 7, tu Bila Maumivu Ya KISU . IMETUMIWA NA WATU ZAIDI YA 300+ NA KUTHIBITISHWA NA MAMLAKA YA TIBA ASILI, NA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA. Je ungependa kutatua changamoto ya bawasili Ndani ya siku Saba tuu?  Kama JIBU lako Ni NDIO , Basi Soma barua hii mpaka mwisho... Ndani Dakika 5 zijazo utagundua Siri iliyonisaidia kupona Bawasili Ndani ya siku Saba Bila Maumivu ya KISU .  LAKINI... ...kabla sijaendelea Hebu Angalia watu wanavyosema kuhusu Siri hii Ili uweze kuamini kile nnachokwenda kukueleza zaidi…. Hello Habari?  Jina Langu Naitwa Amosi naishi Dar es salaam, nakumbuka mwaka 2020 nilitembelea Nairobi kwenye shughuli za kibiashara… Baada ya kufika Nairobi niliendelea na ratiba za kawaida, na wakati najiandaa Kuelekea kwenye mkutano...  GHAFLA... Nilihisi Maumivu Makali Sana Kwenye njia ya haja kubwa, muwasho pamoja na Hali ya kutaka Kwenda haja kubwa.... Nikaamua niende chooni kabla ya kwenda Moja Kwa Moja kwenye mkuta...

USAFI WA MWANAMKE NDIO NGAO YA AFYA NJEMA.

Image
    U.T.I KWA WANAWAKE Uti ni maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa wanawake ambao huhusisha figo (kidney), kibofu cha mkojo (urinary bladder), mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu cha mkojo (urethra) pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E. coli, lakini katika mazingira machache fangasi na virusi wanaweza kuwa chanzo cha maambukizi haya. Mfumo Wa Mkojo Wa Mwanamke: CHANZO CHA U.T.I KWA WANAWAKE: U.t.i husababishwa na bakteria waitwao Escherichia coli (E.coli), bakteria hawa wanapoingia mwilini huenda kuathiri mfumo wa mkojo. 1. Kinga ya mwili kutokuwa imara (immunosuppresion). 2. Kutumia vifaa au dawa za kuzuia mimba. 3. Kupungua kwa homoni ya estrogen. 4. Ugonjwa wa kisukari. 5. Kutumia choo kichafu. 6. Kufanya ngono isiyo salama (unprotected sexual intercourse). 7. Mimba (Pregnancy). DALILI ZA UTI KWA WANAWAKE: Zifuatazo ni baadhi ya dalili za u.t.i kwa wanawake ambazo ni pamoja na; a) Kupatwa ...