USAFI WA MWANAMKE NDIO NGAO YA AFYA NJEMA.
U.T.I KWA WANAWAKE
Uti ni maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa wanawake ambao huhusisha figo (kidney), kibofu cha mkojo (urinary bladder), mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu cha mkojo (urethra) pamoja na mrija unao unganisha figo na kibofu cha mkojo
Maambukizi haya kwa kiasi kikubwa husababishwa na bakteria jamii ya E. coli, lakini katika mazingira machache fangasi na virusi wanaweza kuwa chanzo cha maambukizi haya.
Mfumo Wa Mkojo Wa Mwanamke:
U.t.i husababishwa na bakteria waitwao Escherichia coli (E.coli), bakteria hawa wanapoingia mwilini huenda kuathiri mfumo wa mkojo.
1. Kinga ya mwili kutokuwa imara (immunosuppresion).
2. Kutumia vifaa au dawa za kuzuia mimba.
3. Kupungua kwa homoni ya estrogen.
4. Ugonjwa wa kisukari.
5. Kutumia choo kichafu.
6. Kufanya ngono isiyo salama (unprotected sexual intercourse).
7. Mimba (Pregnancy).
DALILI ZA UTI KWA WANAWAKE:
Zifuatazo ni baadhi ya dalili za u.t.i kwa wanawake ambazo ni pamoja na;
a) Kupatwa na maumivu yanayochoma wakati wa haja ndogo.
b) Kujisaidia haja ndogo mara kwa mara isiyotoa mkojo mwingi.
c) Kujisaidia mkojo mweusi au ulio na chembechembe za damu na harufu kali.
d) Maumivu ya nyonga.
e) Uchovu, Homa na kutapika.
f) Maumivu ya sehemu ya chini ya tumbo.
MADHARA YA UTI KWA WANAWAKE:
Ugonjwa huu usipotibiwa vizuri unaweza kusababisha madhara yafuatayo;
a) Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure), hii ni hatari sana na hutokana na bakteria kushambulia figo.
b) Magonjwa ya kibofu cha mkojo kama vile kibofu cha mkojo kuziba, kushindwa kukojoa hali ambayo hupelekea mgonjwa kukojoa kwa mrija (urinary catheterization).
c) Maumivu ya mgongo, kiuno na nyonga.
d) Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.
e) Mimba kuharibika.
f) Kushindwa kubeba mimba.
JINSI YA KUJIKINGA NA UTI KWA WANAWAKE:
Kuna baadhi ya njia zinazoweza kutumika kujikinga na tatizo la UTI ya kujirudia. Mfano wa njia hizo ni pamoja na;
a) Kunywa maji na vinywaji kwa wingi kila siku. Hii itakusaidia ukojoe mara kwa mara na kutoruhusu bakteria kujenga makazi kwenye njia ya mkojo.
b) Kutokuvaa nguo za ndani zinazobana sana. Badili pedi mara kwa mara uwapo hedhini.
c) Kuacha mazoea ya kuvaa nguo za ndani mbichi.
d) Kusafisha via vya uzazi kutoka mbele kwenda nyuma (frontal to back wiping) baada ya haja kubwa na wakati wa kuoga ili kuzuia bakteria wasiingie kwenye uke kutoka sehemu ya haja kubwa.
e) Kwenda haja ndogo (kukojoa) mara tu umalizapo tendo la kujamiiana. Hii itasaidia kutoruhusu bakteria kuingia na kujenga makazi kwenye njia ya mkojo.
f) Kuacha tabia ya kutunza mkojo kwa muda mrefu baada ya kuhisi haja ndogo. Mkojo ukikaa sana kwenye kibofu unaweza kuzalisha bakteria.
g) Epuka kujisafisha ukeni kupita kiasi (excessive vaginal douching), pia epuka kupulizia marashi ukeni, ama kutumia pedi zenye kemikali ya kukata harufu.
ANGALIA SHUHUDA HAPA, UJIONEE WATU WALIOTUMIA TIBA YETU WALIVYOPONA KWA HARAKA ZAIDI.
SASA ANGALIA TIBA INAYOKWENDA KUA MKOMBOZI WAKO HAPA CHINI...
TIBA YAKUDUMU NDANI YA SIKU 7 TUU.
Kazi za tiba hii ni kama ifuatavyo;
1. Huondoa harufu mbaya ukeni, uchafu na kuongeza bacteria walinzi, ni nzuri kwa wanaochangia vyoo.
2. Inatibu Fangasi sugu ukeni na U.T.I sugu.
3. Ni nzuri sana kwa wenye P.I.D sugu
4. Huondoa maumivu wakati wa tendo la ndoa na kurudisha ute ute unaohitajika.
5. Inafanya Uke kuwa msafi na mkavu muda wote.
6. Inazibua Mirija ya Uzazi iliyoziba na kurekebisha hedhi iliyovurugika.
7. Inakaza misuli ya Uke uliolegea na kuwa tight.
8. Inaondoa maumivu ya Tumbo chini ya kitovu. (chango).
9. Inaondoa michubuko ukeni, vidonda na vijipele vyote.
`
Uke ni sehemu ya wazi yenye unyevu unyevu ni rahisi Kuvurugwa na kupata Maambukizi ya Mara kwa mara.



Comments
Post a Comment